Nuhu Mziwanda amshukuru Shilole kwa kumpandisha ndege kwa mara ya kwanza...

Huyu mtu mjinga kuliko watu wote dunia hii
 
Tatizo vijana wengi wanakimbia shule na kuona umarioo ndo dili
juzi alikua zenji angalia sasa alichoposti kwa kingereza
Zenji am on stage yesterday

nilicheka sana
 
Last edited by a moderator:
Hahaha alisindikizwa na ukoo mzima mpk airport.
 
Na siku akianza kutiwa dole na Shilole mwambie atuwekee picha Insta tuone, si ni bingwa wa kuappriciate

Umeongea ukweli inawezekana kidole huwa anatiwa ila cko wakiachana tutasikia mengi.barnaba alikimbia matatizo yalikua mengi
 
Kushukuru kwa kila jambo si vibaya kabisa ni busara na nina mpongeza kwa kushukuru! Lakini huwa kila leo nikimuangalia Nuhu naona kama amekuwa ni mzigo mwingine kwa shilole kabisa na hata yeye aliwa kukiri kwenye media! Shilole kama ana watoto wanne basi Nuhu ni mtoto wa tano maana anatakiwa kumuhudumia kwa kila kitu.

Huwa najiuliza Nuhu ni kabila gani?

Nuhu wazazi wake wako hai?

Nuhu ana jishughulisha na nini?

Nuhu ana umri gani?

Nuhu ameishia darasa la ngapi?

Maisha inayo ishi na shilole kamwe hawezi kuwa mwanaume kabisa maana yeye ni tegemezi kabisa na sidhani kama ana mpango wa kujikwamua! Wazazi wa Nuhu wana mzigo mkubwa sana na hii dhambi wataibeba kabisa.
Siwezi kumuingilia Nuhu kumpenda shilole kwa kuwa ni mkubwa lakini Nuhu ana act kama mwanaume kwa shilole?

Kama kweli kuna wale wanao toa mapepo basi Nuhu alipaswa kupelekwa kule...Nuhu niwa kumhurumia si wa kumbeza..
 
Huu ukoo wa Mziwanda bana...lakini mbona Regina Mziwanda ana akili ?

Ila kwa kuwa wote mnakuwa negative mno, ngoja mie nichukue nafasi hii kumshukuru Shilole kwa yote anayomtendea kijana wetu, Mungu atakulipa mama.
 
Acheni dogo ashukuru kwa kupandishwa ndege. Mimi mwenyewe sijawahi kupanda ndege kwa hiyo ni big deal sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…