Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Jamani eh, nyie watu vipi! Kama ni ushamba, wa kwake! Yeye, sawa na watu wengi tu, na wengine hata humu JF alikuwa hajawahi kupanda ndege na hivi sasa amepanda, ameonesha wazi furaha yake! Mbona nyie wengine mnatuleteaga hapa stori zenu ambazo huwa mnaongea in other way round... utasikia, cku moja tumefika Amsterdam na Emirates wakati stori yenyewe wala haikuwa na sababu ya kutaja ndege uliyosafiria... tena wengi wenu mnaleta stori kama hizo wakati ni safari za kiofosi na wala bei ya tiketi yenyewe hamuijui... Leo hii Nuhu kasema amepanda ndege inageuka kuwa nongwa kwenu? Huko vijijini kwenu ni juzi juzi tu hapa watu wameanza kupanda gari, itakuja kuwa ndege bhana?
Umeona enh! Tatizo JF kila mtu mjuaji, kila mtu mambo safi, kila demu ni classic na ndio maana ukimwambia mtu ukutane nae mahali physically, atakupiga chenga mwaka mzima ili aendelee kuficha maisha yake ya kuigiza hapa JF!True... sio kila mtu anaweza kutumia usafir huo wa anga ambao ni expensive, asikwambie mtu kupanda ndege ni raha especially for first fliers..... wote tulitoka uko, hakuna aliyezaliwa na ndege, wote tumezikuta tukapanda
Umeona enh! Tatizo JF kila mtu mjuaji, kila mtu mambo safi, kila demu ni classic na ndio maana ukimwambia mtu ukutane nae mahali physically, atakupiga chenga mwaka mzima ili aendelee kuficha maisha yake ya kuigiza hapa JF!
Tatizo vijana wengi wanakimbia shule na kuona umarioo ndo dili
juzi alikua zenji angalia sasa alichoposti kwa kingereza
Zenji am on stage yesterday
nilicheka sana
Mkuu umenikumbusha siku niliyofanya tohari dah kisu kinauma tena pale anaporudia ile ngozi ya ndani uwiiiiiiii!!!! Nilijikaza kisabuni kwa kwel ila uchungu niliusikilizia badae