Nuhu Mziwanda na Shilole warudiana

Safi sana nuhu kula huyo mtoto tafuna had mifupa
 
Dogo lazima arudi kwa bi. Mkubwa, kodi ya nyumba sio masihara mjini hapa. Hasa kazi yenyewe ikiwa ni mission town.
 
Hawa wameona wapenzi wao hawawapi kiki wameamua kurudiana wapate kiki
 
Dogo lazima arudi kwa bi. Mkubwa, kodi ya nyumba sio masihara mjini hapa. Hasa kazi yenyewe ikiwa ni mission town.
hivi kuna vijana hawana uwezo wa kulipia hata chumba cha elfu 50 hapa mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…