Nuksi ya October 29 imeanza kuwapasua wauaji

Hii ndio faida ya kujenga nyumba juu ya mchanga. Ikija dhoruba kidogo tu, mfumo mzima unasambaratika na hakuna wa kumuongoza mwenzake.
 
Wauaji sasa wanatepatepa wenyewe na sasa wameshia na hakuna mtu anajua nani sasa anaongoza nchi
Nchi hii inaongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Kama hujui au huamini hilo fanya "nywi" au "nywinywinywi" uone!!!
 
Nchi imeshapata doa hii ni ngumu sana kurudi katika hali yake ya zamani
mbaya zaidi mambo yanazidi kuharibika kila siku
haya yote lawama na laana wanazo ccm na wahuni wenzao damu walizomwaga 29oct zipo mikononi mwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…