Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
"Hatuwezi kuendesha Shirika la Posta kama tulivyokuwa tunaendesha miaka ya nyuma, lazima twende na mabadiliko ya TEHAMA na mahitaji ya sasa ya Dunia, na ndio tafsiri ya kauli yangu ya msipobadilika mtabadilishwa na mazingira”
Dkt. Faustine E. Ndugulile
Februari 2021
************************
"Homa hii ni ya Mapafu (COVID-19), sasa unataka kunyunyuzia Maji ya Ndimu na Limao utaishi wewe? Kuna Elimu tunahitaji kwasababu kuna kudanganyana, Vitamin C itakusaidia kuchochea Kinga lakini si Tiba ya Corona"
Dkt. Faustine E. Ndugulile
2020
*****************