Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
KWELI KWA RAIS SAMIA SIO SISI WATANZANIA KWELI IBADILISHWE JINABadili kichwa cha habari mzee, hiyo Nukuu ni kwa mzanzibar mama Samia na sio Watanzania, mtuache aisee, anaongea na mteuzi wake. Wacha waendelee kujifariji.
Makamba ndio tuliamini anafaa kuwa RAIS?KWELI KWA RAIS SAMIA SIO SISI WATANZANIA KWELI IBADILISHWE JINA
Porojo tu maneno mengi vitendo 0NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA
Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na changamoto, pale palipo na changamoto ndio tunahamasika, palipo na ugumu ndio tunahamasika palipo na maneno ndio tunahamasika kwa hiyo nataka nikuhakikishie Mh Rais kwamba tuko vizuri na tutahakikisha kwamba tunafika pale mwisho lakini kwa imani na ridhaa yako Mh Rais” Januari Makamba, 22 Disemba 2022
Kazi nzuri huwa zina jionyesha zenyewe.NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA
Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na changamoto, pale palipo na changamoto ndio tunahamasika, palipo na ugumu ndio tunahamasika palipo na maneno ndio tunahamasika kwa hiyo nataka nikuhakikishie Mh Rais kwamba tuko vizuri na tutahakikisha kwamba tunafika pale mwisho lakini kwa imani na ridhaa yako Mh Rais” Januari Makamba, 22 Disemba 2022
NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA

Kwenye kuvaa nguo safi na kunyoa upara.Makamba is one of the smartest guys in CCM