NUKUU: Mwl, NYERERE NA MTAZAMO WAKE WA MATABAKA KATI YA MATAJIRI NA MASKINI.

NUKUU: Mwl, NYERERE NA MTAZAMO WAKE WA MATABAKA KATI YA MATAJIRI NA MASKINI.

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
Katika nchi kama yetu ambayo Waafrika ni maskini sana na wageni nai matajiri, kuna uwezekano mkubwa kwamba mwafrika akiruhusiwa kuiuza ardhi, katika miaka themanini ijayo, ardhi yote ya Tanganyika (Tanzania) itamilikiwa na matajiri wageni na wenyeji watakuwa watwana.
Lakini hata kama wageni wasingekuwa matajiri, litaibuka tabaka la watanganyika (watanzania) matajiri wajanja. Tukiruhusu ardhi iuzwe kama kanzu, katika muda mchache, kutakuwa na kundi dogo la watanzania wakiwa na ardhi na walio wengi watakuwa watwana (Mwl. J.K. Nyerere – 1958).
Hii ndiyo hali tuliyonayo kwa sasa, je, sisi wapiganaji tufanyeje kupingana na hali hii?.

Kila saiku nitakuwa nawaletea NUKUU ambazo zilishaandikwa na waliopita lakini zenye mtazamo chanya katika maisha ya leo. KARIBUNI.
 
Back
Top Bottom