Kwa jina la mwenyezimungu, mwingi wa rehema, amlaani huyu kahaba wa dharau, aliyekosa hata chembe ya huruma, asiyejua majonzi ya mafukara wa Tanzania. Hawa ndio wale viongozi wanaonuka, sio wananuka rushwa tu, wananuka miili yao, ukiwasogelea wanatoa harufu kali, si kwamba hawaogi, la hasha, harufu hizo hata wakioga na maji safi na mediketedi sopu hazitawatoka. kwani ni harufu za laana za watoto wa tanzania wanaoteseka kwa kukosa huduma muhimu kwa makusudi ya viongozi hawa kwa maslahi yao ya kisiasa.
Mkuchika hajakurupuka kuongea haya. Amedhamiria, na kabla ya kutoa kauli hiyo ni lazma kuna pre meeting na wenzake.
Najua haya ni mawazo finyu ya akina Tambwe hiza, na wazee wengine wanaotumia kodi zetu kufanyia ufuska.
Kwa taarifa yenu, watanzania wa leo si wale mnaofikiria, tunafaham uozo wenu, na familia zenu. hamna uongo wa kuendelea.
Mjiulize kwa nini mnazomewa? kwa nini hamkubaliki? Mnajisikiaje mkiwa meza moja na yule aliyekuteueni?
Mnatia aibu mbele yake, na mbele ya watanzania. wewe mkuchika unakumbuka ulipotoa kauli mbovu mbele ya vijana wa upinzani? wewe ni muuaji. Haya na mengine mengi ndio jibu la kwa nini Tz hatuendelei.
Hamjui uongozi, tafuteni kingine cha kufanya. mnang'ang'ania hapo kwa nini? Pumbav....
Umeenda Busanda kutukana watu? au umeenda kufanya kampeni?
Hujui ufanyalo......