T Twalangete Member Joined Nov 29, 2019 Posts 9 Reaction score 3 Dec 13, 2019 #1 Naomba kujuzwa zaidi katika nyanja zifuatazo pindi unapoandika nukuu za kikao Lugha ya nyakati gani Mfano wa vipengele gani vyakujumuishwa
Naomba kujuzwa zaidi katika nyanja zifuatazo pindi unapoandika nukuu za kikao Lugha ya nyakati gani Mfano wa vipengele gani vyakujumuishwa
Nyoka mwenye makengezaa JF-Expert Member Joined Nov 22, 2019 Posts 787 Reaction score 1,054 Dec 13, 2019 #2 Nukuu unatumia kiswahili sana sana, vipengeke ni jumuishi vyote. Cha msingi tafuta muundo changamano kama virai kwa sentensi huria, ukikosa chakata kupitia vishazi mnyumbuliko. Asante.
Nukuu unatumia kiswahili sana sana, vipengeke ni jumuishi vyote. Cha msingi tafuta muundo changamano kama virai kwa sentensi huria, ukikosa chakata kupitia vishazi mnyumbuliko. Asante.