Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,773 Reaction score 1,174 Mar 21, 2025 #1 Nukuu za Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe za Uapisha za Rais Mteule wa Namibia Mhe. Nerumbo Nandi-Ndaitwah, leo tarehe 21 Machi, 2025 Mjini Windohoek Namibia. Attachments IMG-20250321-WA0037.jpg 250.9 KB · Views: 32 IMG-20250321-WA0031.jpg 273.3 KB · Views: 39 IMG-20250321-WA0030.jpg 244.1 KB · Views: 36 IMG-20250321-WA0035.jpg 251.1 KB · Views: 37
Nukuu za Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe za Uapisha za Rais Mteule wa Namibia Mhe. Nerumbo Nandi-Ndaitwah, leo tarehe 21 Machi, 2025 Mjini Windohoek Namibia.
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,800 Reaction score 4,930 Mar 21, 2025 #2 Unaambiwa huyu Rais wa Namibia aliwahi kuishi Magomeni Mapipa miaka kadhaa huko nyuma. Maisha haya!
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 9,468 Reaction score 8,281 Mar 22, 2025 #3 Tundu Lissu anaumia kweli kuona mh.Ndaitwa aliishi Magomeni...ndio ajifunze kuwa serikali ya CCM si ya hovyo kama anavyowadanganya nyumbu wake..... #Viva Tanzania Vivaaaaa ! #Viva Namibia Viva!
Tundu Lissu anaumia kweli kuona mh.Ndaitwa aliishi Magomeni...ndio ajifunze kuwa serikali ya CCM si ya hovyo kama anavyowadanganya nyumbu wake..... #Viva Tanzania Vivaaaaa ! #Viva Namibia Viva!
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 9,468 Reaction score 8,281 Mar 22, 2025 #4 Burkinabe said: Unaambiwa huyu Rais wa Namibia aliwahi kuishi Magomeni Mapipa miaka kadhaa huko nyuma. Maisha haya! Click to expand... Ni kweli aliishi.... Viva Tanzania Vivaaaaa!
Burkinabe said: Unaambiwa huyu Rais wa Namibia aliwahi kuishi Magomeni Mapipa miaka kadhaa huko nyuma. Maisha haya! Click to expand... Ni kweli aliishi.... Viva Tanzania Vivaaaaa!
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Mar 22, 2025 #5 Nukuu tamu huwa ni za big brain ambazo ndizo zinaishi miaka mingi duniani, ila za hawa viiazaa huwa hamnaga kitu!!
Nukuu tamu huwa ni za big brain ambazo ndizo zinaishi miaka mingi duniani, ila za hawa viiazaa huwa hamnaga kitu!!