Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Sep 1, 2024 #1 NUKUU za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya kilele cha miaka 60 ya JWTZ, iliyofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 31 Agosti, 2024.
NUKUU za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya kilele cha miaka 60 ya JWTZ, iliyofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 31 Agosti, 2024.
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Sep 1, 2024 #2 Tupigane na Rwanda direct,tuachane na M23,kizazi cha sasa tushuhudie ubora wa JWTZ kama walivyoshuhudia wa miaka ya Idd Amin.
Tupigane na Rwanda direct,tuachane na M23,kizazi cha sasa tushuhudie ubora wa JWTZ kama walivyoshuhudia wa miaka ya Idd Amin.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Sep 2, 2024 #3 Ndani ya kombati naona Ova
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Sep 2, 2024 #4 Mwambieni atulie kwanza, 2025 hapafai.