Tehe teheee, kumbe kale kasuruali ka zebra crossing (wakina Heaven on desert wanadai ni ka Wema) aliko vaa kwenye harusi, alikatinga ndani ya hii video i...
Duh Platnumz kani-disappoint sana katumia nguvu sn kuitangaza alafu video mbovuuu ever nadhani angetumia resources kufanya ngoma mpya na Davido ila sio kesi kuharibu pia ipo ama nn.,