Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,437 Reaction score 1,027 Jan 10, 2012 #1 Katika mechi kati ya Arsenal na Leeds,Thiery Henry alivaa jezi namba 12,alifunga bao dakika 12 kabla ya mchezo kuisha,lile lilikuwa ni bao lake na 12 kufunga dhidi ya leeds>na huu ni mwaka 2012.
Katika mechi kati ya Arsenal na Leeds,Thiery Henry alivaa jezi namba 12,alifunga bao dakika 12 kabla ya mchezo kuisha,lile lilikuwa ni bao lake na 12 kufunga dhidi ya leeds>na huu ni mwaka 2012.