Number inasomeka...!

Zeroiez

Senior Member
Joined
May 2, 2013
Posts
181
Reaction score
201
Ama kweli sasa hivi hali ni ngumu yaani hata zile ndoto za kuota unakula majipochopocho pia zimesitishwa? siku hizi ukiota ni umekufa au unakimbizwa lakini kuota unapiga mahanjumati Noooo...
 
Ama kweli sasa hivi hali ni ngumu yaani hata zile ndoto za kuota unakula majipochopocho pia zimesitishwa? siku hizi ukiota ni umekufa au unakimbizwa lakini kuota unapiga mahanjumati Noooo...
Hapo kuota kufa bora ujiotee umekufa mwenyewe,ukiota nanii kafa unaenda kunyea ndoo
 
Ama kweli sasa hivi hali ni ngumu yaani hata zile ndoto za kuota unakula majipochopocho pia zimesitishwa? siku hizi ukiota ni umekufa au unakimbizwa lakini kuota unapiga mahanjumati Noooo...
[emoji38] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji5]
 
*```Status zilizokiki kipindi cha JK```*
1. Nikiwa beach napunga upepo
2. With my kids enjoying the day
3. Wakati nipo na masela tukichafua Meza si mchezooo
4. Nikiwa natoka Airport kwenda home likizo
5. Enzi za ubora wangu
6. Feel blessed
7. Thankful
8. Nice Moment
9. Cheers
10. The day I enjoyed never ever
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

*```Status zinazoongoza wakati wa JPM.```*
1. Nimekukimbilia ewe bwana nisiaibike milele
2. Bwana ndiwe mchungaji wangu
3. Bwana ndiwe mweza wa yote
4. Ewe bwana nipiganie
5. Nitamshukuru bwana kila wakati
6. Bwana nipe macho nione
7. Sifa na shukrani zikurudia bwana
8. Mungu umemtupa mja wako
9. Bwana sikia kilio changu
10. Wamtumainio bwana ni kama mlima Sayuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…