Ntwa A. Katule
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 239
- 230
Kuna mahali nilisoma kwamba Tanzania ina zaidi ya milioni tatu amabazo nyingi ni ndogo ndogo almaarufu kama SMEs. Je katika kundi la SME, makadirio ya idadi ya biashara ambazo ni za saizi ya kati (medium)(Revenue between 1b and 20b) ni ngapi? Au naweza kuelekezwa kwenye source ambayo inazo statistics za namna hiyo