Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Kwa hapo kazi ipo..tuseme kila ukinywa serengeti kipitacho mbele yako ni halali yako?sasa kwa stail hiyo mbona kazi ipooo?kwa hiyo niendeleze uzinzi??
Watafutie movie inaitwa 'double wedding'.
Ikishindikana make their mom ur desert! Ulijua umeshaharibu na ney, X uliendelea kumsaka wa nini?
Wateme wote...,kwani inaonyesha tabia zao sio nzuri,X angekukataa baada ya kujua uhusiano kati yako na dada yako ningemuona ana tabia njema
Kwa kuwa X hana matatizo na ameamua kuwa nawe basi huna budi kutangaza ndoa mapema,hapa duniani hakuna aliye msafi katika matendo,sikulaumu kwa yaliyotokea na nakupongeza kwa kuwa mkweli kwa X hata baada ya kuwa ulifanya makosa kutembea na dada yake kimakosa wakati lengo lako lilikuwa ni kuwa na mdogo wake.
Usitishike na vitisho vya dada mtu na endelea na maisha kama kawaida.