Nunda Mla Watu, Pesa zako zinanuka, Hadithi za Rafiki 7 na Betrayal in the City vinapatikana wapi?

Nunda Mla Watu, Pesa zako zinanuka, Hadithi za Rafiki 7 na Betrayal in the City vinapatikana wapi?

Mwihadisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
604
Reaction score
227
Wadau wa Jukwaa hili la Elimu. Naomba anayejua wapi naweza kupata Vitabu tajwa hapo juu anisaidie. Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Yaani nimejikuta nacheka mpaka point yangu imepotea kutokana na hayo majibu ya mchangiaji.
 
Uko wapi, mi ninavyo viwili Betrayal in the City, na Pesa zako zinanuka, ila nipo Mwanza!
 
Pita ubungo karibu na oilcom barabara ya sam nujoma (uende jion maana ukienda mida mingine havitakuwepo coz machinga wanaogopa mgambo) ama uende stand ya mkoa kwa nje vipo vimejaa hata kile chenye hadith za hawafu mwenye nguvu, juma na uledi, pamela na kipini, maendeleo tilonda n.k
 
Back
Top Bottom