INAUZWA HARAKA! NYUMBA INAYOENDELEA NTENGELE - MILIONI 20 TU π‘*
UNATAFUTA KUANZA KUJENGA AU KUMALIZIA NYUMBA YA NDOTO? HII NDIO FURSA YAKO!
Nimekuletea Boma kubwa lenye muundo tayari umeanza
Ntengele kwa bei ya mshangao π
π MAELEZO YA MALI:
1. MAHALI: Ntengele, eneo limeiva, majirani wamejenga nyumba nzuri zimezunguka. Mazingira tulivu, salama na ya kifamilia. Barabara inapitika gari mwaka mzima.
2. UKUBWA: Kiwanja kikubwa sana. Kwa macho, ukilinganisha na nyumba zilizojengwa jirani, hiki ni
karibu 50ft x 80ft / Ploti Namba 20. Nafasi ya kutosha kujenga nyumba kubwa + Bwalo + Bustani + Parking.
3. MUUNDO ULIOPO:
- Ukuta wa Uzio umeshapewa mpaka juu β
- Muundo wa Nyumba umefikia
Level ya Lintel sehemu kubwa β
- Matofali ni ya udongo uliochomwa vizuri, ukuta umejengwa kwa ufundi imara β
- Hii inakusave
TSh 8M - 10M za kazi ya misingi na kuanzisha ukuta.
4. BEI: TSh 20,000,000 TU - Tunazungumza kidogo mezani kwa mteja serious.
π KWA NINI USIKOSE FURSA HII NTENGELE?
1.
Unasave Muda na Pesa: Badala ya kuanza toka chini, wewe anza na
lintel. Ndani ya miezi 6 umeingia nyumbani kwako.
2.
Eneo Linapanda Bei Kila Siku: Ntengele sasa hivi ndio
Kariakoo ya Mwanza. Ukinunua leo Mil 20, miezi 12 ijayo inafika Mil 28 bila kujenga chochote.
3.
Fursa ya Biashara: Ukimaliza, nyumba ya vyumba 3-4 Ntengele inakodishwa
TSh 400,000 - 600,000 kwa mwezi. Rudi faida yako ndani ya miaka 4.
4.
Hati na Uhakika: Kiwanja kipo eneo lenye majirani, utaratibu wa kumiliki ni safi. Karibu upime mwenyewe ukaridhike.
WARNING β οΈ: Viwanja vya aina hii vilivyojengwa mpaka lintel Ntengele havikae wiki 2 sokoni. Vinachukuliwa haraka.
---
π MPIGIE / WHATSAPP SASA HIVI KWA MAELEZO ZAIDI NA KUPIMA:
0638 988 827
Karibu sana upime.
Mmiliki ana haraka.