Tuwe fair. Galaxy s2 na Cx (naamini ni tecno) tecno CX ipo juu, tena sana.
S2 haina 4g. Cx inayo.
S2 ni ya zamani mno kulinganisha na cx.
S2 security features ni lower kulinganisha na cx.
Cx ina fingerprint camera kubwa, S2 haina.
Hiyo spark 3 unayoitaka ni kubwa kwa cx.
Pia bei unayouzia naomba niamini kuna uwanja wa mazungumzo maana 150K hapo unaongelea kununua S3 ambayo haina cracks na kila button ipo. Hii bei ni kwa mitaa yetu sijui wewe ulipo.
Pia ungeuliza uber simu wanayotaka maana samsung a10 na tecno la6 waliigomea
ikoje hyo ntumie pcha yake niione
Mkuu nimeghaili.Tuwe fair. Galaxy s2 na Cx (naamini ni tecno) tecno CX ipo juu, tena sana.
S2 haina 4g. Cx inayo.
S2 ni ya zamani mno kulinganisha na cx.
S2 security features ni lower kulinganisha na cx.
Cx ina fingerprint camera kubwa, S2 haina.
Hiyo spark 3 unayoitaka ni kubwa kwa cx.
Pia bei unayouzia naomba niamini kuna uwanja wa mazungumzo maana 150K hapo unaongelea kununua S3 ambayo haina cracks na kila button ipo. Hii bei ni kwa mitaa yetu sijui wewe ulipo.
Pia ungeuliza uber simu wanayotaka maana samsung a10 na tecno la6 waliigomea
Ni sawa. Sasa S2 hata ukiupdate inaishia 4.waliniambia ni simu yenye version kuanzia 6 mkuu
Usimbanie msaidie kupambana na maishaMkuu nimeghaili.
Ni sawa. Sasa S2 hata ukiupdate inaishia 4.
Jaribu kutafuta tecno s1 zile za tigo ni bei cheap halafu version yake inaanzia 6. Hiyo ukimkuta nayo mtu ukimwambia mbadilishane na s2 anaweza (siyo given) akakuelewa.
ni kwakua inatumia OS ya Jellybean (4.3) ambayo ni ya kitambo, Uber app inataka walau Marshmallow kwenda juu, uki upgrade OS itakubalihii simu imekataa uber driver App.
Galaxy s2 ifikie marshmallow? Bob haupo siriasni kwakua inatumia OS ya Jellybean (4.3) ambayo ni ya kitambo, Uber app inataka walau Marshmallow kwenda juu, uki upgrade OS itakubali
150K bei fair nunua kisu hichounaama masaki na kwenda tandale ? aisee, ila iyo samsung ni kali sana, tena line 2
nna S4 mini tayari,ila wallahi nigeichukua150K bei fair nunua kisu hicho
samsung zipo flexible kinyama ndio maana nazikubaliGalaxy s2 ifikie marshmallow? Bob haupo sirias
Msaidie kuinstall sasa au?samsung zipo flexible kinyama ndio maana nazikubali
hayuko tayari kubaki nayo, angeni quote from the moment nimetoa post hapo juuMsaidie kuinstall sasa au?