Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nashukuru kwa uaminifu wako mkuu umeninunulia display ya cmu yangu ya lg Q6 baada ya kutafuta TANZANIA bila mafanikio huyu jamaa ni muaminifu sana mzigo nimepokea leo.[emoji122]
 
Naomba kuuliza hizi review sio za kutengeneza.Na unaweza juaje hazijatengenezwa?
 
sasa nahitaji simu aina ya Xiaomi Note 4, kama tulivowasiliana awali. Xiaomi note 4
Waweza kupata hii simu hapa: Redmi Note 4 Redmi Note 4 4GB 64GB in Cell Phones and Smartphones | eBay

Ila bei iko juu sana kwa hiyo simu.

Ni vyema ukachukua matoleo mengine ambayo ni latest kwa ghlama hiyo.

Waweza kuchukua hii
- Xiaomi Mi A2 Lite 4GB RAM 64GB ROM 5.84" - Hii ima chipset inayofanana na note 4
- BEI ni TZS 590,964 hadi inakufikia


Soma zaidi hapa: Compare Xiaomi Mi A2 Lite (Redmi 6 Pro) vs. Xiaomi Redmi Note 4 - GSMArena.com

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…