Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Asante Ndugu nimepokea mzigo wangu Mwanza ukiwa salama, Asante kwa huduma nzuri.
 
Mambo vip?naweza kuagiza camera canon d3300 na kit yake kwa shiling ngap
 
unapendekeza amazon
Kila bidhaa kwa amazon huwa imewekewa shipping weight, hivyo inakuwa rahisi katika kukokotoa ghalama za kusafirishia kuja Tanzania.

Kumbuka kwa items zenye uzito mkubwa wauzaji wengi huwa hawatumi nje ya nchi zao; Jaribu kufuatilia hili EBAY utaona.
 
Okay wacha nikague naleta link mda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…