Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

- Item shipping weight? hakuna maelezo yake kwenye link husika.
- Hii item ili ifike tanzania itakuwa na route mbili , Zote zinalipiwa usafirishaji kutokana na uzito wake.
[a] Toka kwa muuzaji hadi ofisini ndani ya china katika mji wa Shanghai
{B} Shanghai kuja Tanzania

Mzigo ukifika nchini
[a] Clearance & handling charges toka kwa agent husika JNA
{b} Malipo ya VAT/ Tax - Toka mamlaka husika

Ndio sababu item kama hizi nimeshauri uangalie AMAZON ili tupate shipping weight, hivyo tunakuwa na ghalama ya manunuzi na kusafirisha hadi TZ, na tunakuwa tumebakiwa na Hizo ghalama za hapa nchini.

Rejea kwenye posti ya kwanza kwenye hii thread kipengele cha MASOKO KUNDI B

KARIBU
 
Sawa mkuu
 

#1. Manunuzi na kuupokea mzigo ndani ya USA ni US $571


#2. Kuutoa mzigo USA kuja Tanzania ni US $157.34

#3. Rate: US $1 = TZS. 2,442.13


#4. Kipengele #.1 na #.2 inatupatia ghalama ya kuufikisha mzigo Tanzani.

#5. Baada ya mzigo kufika; Zitafuata taratibu za clearance na utajulishwa kiasi cha kulipia TRA
 
review mbaya kwenye baadhi ya bidhaa kama ya hiyo link niliyokupa.naona kuna malalamiko flash hazi fit,lens ziko broken n.k.
Ni jambo muhimu kupitia maoni ya wengine kabla ya kununua bidhaa husika.
Iwapo wengi wao wanasema bidhaa haina kiwango, Je hapo kweli utakuwa na sababu ya kununua?
 
Mkuu piga hesabu kila kitu niambie jumla sh ngap mpaka kufika tz.ya TRA tutajua bdae
 
bestbuy ipo cheap
Je ni free shipping ndani ya USA best buy?
- Hakiki ili tulinganishe na amazon



Ghalama ya kutoka USA kuja Tanzania ni US $644.68

Jumla: US $1,143.8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…