Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Niliagiza hii Bluesnowball Mic from amazon na niliipata within a week na siku 1. I highly recommend the service
--
--

----------
 
Mkuu whatsapp yako haipatikani

Sent using Jamii Forums mobile app
- Habari
- Namba ya whatsapp ukipiga ni kweli haipatikani,
- Namba ya whatsapp ni maalum kwa whatsapp tu. ( Whatsapp ONLY ), Hivyo waweza tuma ujumbe wa whatsapp au whatsapp voice call na utanipata
- Iwapo unahitaji kupiga / kutuma sms kawaida, basi tumia namba zingine nilizoweka post ya kwanza.

KARIBU
 
Habari.
Tumia link za aliexpress: Buy Products Online from China Wholesalers at Aliexpress.com

Sababu hizo za ebay bei zake hazina uhalisia.
 
TZS: 1,455,432
Muda: Ndani ya siku 14
Njia ya malipo: Mobile Banking

NB: Mzigo ukifika nchini iwapo kutakuwa na tozo la VAT toka mamlaka husika wakati wa clearance basi itajulikana ni kiasi gani na utajulishwa.
Mkuu bora nikanunue hizi huku bongo, mana ni mpyalkn bei iko chini ya hapo.

Nilifikiri nikiagiza naweza save
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…