Simu inaonesha ya moto Chief-Mkwawa uje utusaidie ku reviewNdugu kiwembe 023 iwapo lengo ni simu yenye camera kubwa zaidi, Basi kuna hii.
View attachment 998629
Xiaomi Redmi Note 7
RAM+ROM -- 4GB RAM+64GB ROM
Camera ------ 48MP+5MP Rear Camera, 13MP Front Camera ( Wakati nokia yeake ni 41MP )
Battery ------ 4000mAh(typ)/3900mAh(min) 5V/2A QC 4.0
Imeingia sokoni wiki hii, na inapatikana katika bei tatu.
1. 3GB 32GB - TZS 544,800
2. 4GB 64GB - TZS 679,200
3. 6GB 64GB - TZS 763,200
TZS 554,400Redmi Note 6 Pro (Black, 64 GB) Online at Best Price Only On Flipkart.com
mkuu hii inakuwa ngap amazon nimeona ghali zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado global version haijatoka hivo hutoifaidisana maana hiyo ni china version
Kwan huwa zinatofautiana chochote zaidi ya Os kuwa na lugha ya kiinglishi?Bado global version haijatoka hivo hutoifaidisana maana hiyo ni china version
Anyway nunua Mkuu kama unahitaji maisha ya kichina na kuhangaika na ma customs roms na pia hutapata official updates toka google kiufupi hazina radha.Kwan huwa zinatofautiana chochote zaidi ya Os kuwa na lugha ya kiinglishi?
Dumelang
TZS 460,800Global Version Xiaomi Redmi Note 6 Pro 3GB 32GB Snapdragon636 Octa Core 6.26" Full Screen Cellphone Dual AI Camera Metal Body CE
US $169.28 |Global Version Xiaomi Redmi Note 6 Pro 3GB 32GB Snapdragon636 Octa Core 6.26" Full Screen Cellphone Dual AI Camera Metal Body CE-in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
Hizi bei za bidhaa ninazoona kwenye AliExpress zinajumuisha gharama zipi kati ya kodi, shipping n.kBAADHI YA TOVUTI ZITAKAZOTUMIKA KUNUNUA BIDHAA
Ziko tovuti nyingi, siwezi orodhesha zote, baadhi ninazopendekeza ni kama AMAZON & EBAY ( Bila kujali .com, .in au .uk )
EBAY
AMAZON
UAE (DUBAI & ABUDHABI )
SOUQ
ALSHOP
CHINA
View attachment 496445
Masoko mengine kwa china ni kama ALIEXPRESS, ALIBABA n.k
JE NITAUPATA VIPI MZIGO WANGU BAADA YA KUWA UMEFIKA TANZANIA?
- Utapigiwa simu kukujulishwa kuwa mzigo wako umefika.
- Utaletewa ofisi kwa wale wanaoishi katikati ya jiji ya Dar es salaam, FREE DELIVERY. au
- Utaelekezwa mahala unatakiwa ufike ili uchukua mzigo - Ni city centre kwa walio Dar es salaam, Waweza kuja wewe mwenye au ukamtuma mtu akuchukulie.
- Kwa walio mikoani au nje ya Tanzania utatumiwa kwa njia ya EMS au kwa njia ya basi kwa kadri wewe utakavyo pendekeza njia ipi itumike – Utalipia hii ghalama.
Mifano hai:
1. Mteja Toka nje ya TZ (anaishi DRC) – Bidhaa yake imetoka China, Na alitumia kwa basi kwenda DRC.
2. Mteja ndani ya TZ anaishi Mkoani – Bidhaa yake imetoka UK
Wateja wote nimekutana nao hapa JF na hakuna tuliye onana ana kwa ana, Zaidi ya njia za mawasiliano tajwa hapo juu.
ANGALIZO
1. Usifanye malipo yeyote bila kuwasiliana nami kwanza, Kwa njia mojawapo ya mawasiliano tajwa hapo juu.
2. Haito tokea kupigiwa simu, au kuandikiwa ujumbe mfupi, kuwa fanya malipo kwenda namba Fulani ya simu.
3. Hakuna malipo yeyote yatakayofanyika kwa fedha taslimu kwa kukabidhiana mkononi.
4. Malipo yote ya fedha yatafanyika kwa utaratibu uliowekwa hapo juu.
5. Miongoni mwetu kuna wenye uoga na mawazo ya kuibiwa/ kutapeliwa pindi lijapo swala la fedha na swala zima la manunuzi mtandaoni.
Yaani kutuma fedha kwa mtu usie mfahumu/ kumuona/ asiye na ofisi mahala ulipo.
Na hujibainisha kwa haya maswali Ofisi yako iko wapi? , Uko wapi nataka nikukabidhi fedha mkononi au nataka tuandikishiane!
- ONDOA shaka, kwa kufuata taratibu zilizo ainishwa hapo juu, uko salama, Na bidhaa yako AU huduma utakayolipia utaipata.
- Iwapo UNA SWALI, PENDEKEZO au USHAURI wasiliana namI au andika kwenye hii thread.
KARIBU
Hizo ghalama unazoona ni bei ya bidhaa husika tu.Hizi bei za bidhaa ninazoona kwenye AliExpress zinajumuisha gharama zipi kati ya kodi, shipping n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo iphone adi inifikie kabisa ndio inagharimu icho kiasi?TZS 768,800
Hii iangalie EBAY kisha nipe link
Karibu Ndugu
Unapomtaka muliza swali aweke link ya bidhaa fulani unamaanisha nini na inapatikana wapi?Hizo ghalama unazoona ni bei ya bidhaa husika tu.
a} Kupta ghalama kamili inatakiwa uchague bidhaa husika kwa kuangalia vipengele vilivyopo kama size/ rangi etl
b} Inatakiwa uchague pia njia ya usafirishaji itakayotumika
Hapo A & B zitakupatia ghalama ya kufikisha bidhaa nchini
KODI
- Hii ghalama utajulishwa na mamlaka husika hapa nchini baada ya bidhaa yako kufika
- Kuna bidhaa huwa na tozo la kodi/ vat na
- Bidhaa zingine huwa hazin tozo la kodi; Hapa utajiuliza ni bidhaa gani hazina kodi?? Tafadhali walsiliana na malaka husika kupata ufafanuzi kuhusu hili swala la kodi kwa bidhaa zinazoingizwa nchini.
- Kwa wanaoagiza magari wamerahisisjiwa kwa kuwekewa hii calculator : Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System
Karibu
Ahsante kwa swali zuriUnapomtaka muliza swali aweke link ya bidhaa fulani unamaanisha nini na inapatikana wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambapo kwa mfano wetu hapo juu link ya simu itakuwa ni hiiIWAPO UNAWEKA LINK KWENYE HII THREAD TUMIA HUU UTARATIBU
https://www.aliexpress.com/item/Global-Version-Xiaomi-Redmi-Note-6-Pro-3GB-32GB-6-26-19-9-Full-Screen-1080P/32922108640.html?spm=2114.search0104.3.1.282b3b764SJViv&ws_ab_test=searchweb0_0,searchweb201602_3_10065_10068_319_10059_10884_317_10887_10696_100031_321_322_10084_453_10083_454_10103_433_10618_431_10307_537_536_10902,searchweb201603_6,ppcSwitch_0&algo_expid=25cbe622-621b-4cce-a008-07227046a98a-0&algo_pvid=25cbe622-621b-4cce-a008-07227046a98a&transAbTest=ae803_5