Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kwa mara ya pili nakuja kutoa ushuhuda...
Nimeagiza back housing ya simu yangu aina ya lg Q6 kutoka kwa huyu jamaa nathibisha hili na mungu ananiona.. Na mzigo umenifikia salama[emoji122]huyu jamaa ni mwaminifu sio mbabaishaji mungu awe pamoja nawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hiyo mkuu ya $99.99
Code:
>>https://www.amazon.com/gp/product/B006K551TO/ref=ox_sc_act_title_1?smid=A3W056AWTSQLUX&psc=1<<
 
TZS. 547,200
asante mkuu kuna hii nimeona amazon bei ya $99.99
Code:
>>https://www.amazon.com/gp/product/B006K551TO/ref=ox_sc_act_title_1?smid=A3W056AWTSQLUX&psc=1<<
[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…