Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

uzoefu wako hasa kuhusu usalama wa pesa na huduma hali iko vipi
- Utapata bidhaa uliyoichagua kwa wakati husika.
- Jumia ni platform ambapo mimi nawewe tunaweza kuweka matangazo ya biashara zetu na kuweza kupata wateja.
- Mfumo mzima wa kuuza na kununua jumia uko salama.
 
- Utapata bidhaa uliyoichagua kwa wakati husika.
- Jumia ni platform ambapo mimi nawewe tunaweza kuweka matangazo ya biashara zetu na kuweza kupata wateja.
- Mfumo mzima wa kuuza na kununua jumia uko salama.
Asante nimekuelewa
 
Mkuu vipi hiyo haiwezekani naona hauja nijibu post namba 2745

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana na utaratibu wa kujua ghalama uko hivi

1. Inatakiwa mawasiliano na supplier yafanyike

2. Kwenye mawasilino inatakiwa tubainishe ukubwa / idadi ya mzigo na njia ya usafirishaji itakayotumia

3. Atatupatia INVOICE tayari kwa kulipia kulingana na makubalino tuliyofikia

NB: Iwapo ni items chache zinatakiwa basi webisite sahihi ni ALIEXPRESS

A} Ingia aliexpress.com na search item husika

B } Nipe link ya item husika na

C} Nitakupa ghalama za kufikisha hapa nchini.

ALIBABA - Wholesale
ALIEXPRESS - Retail store
 
Shukran mkuu ngoja nicheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nichekie hapo mkuu NEW Plastic Molds for Concrete Paving Slabs Wall Stone Cement Tiles "Money World" Paving Slabs Plastic molds BEST PRICE
TZS 79,236.88 11%OFF | NEW Plastic Molds for Concrete Paving Slabs Wall Stone Cement Tiles "Money World" Paving Slabs Plastic molds BEST PRICE
US $34.2 10% OFF|NEW Plastic Molds for Concrete Paving Slabs Wall Stone Cement Tiles "Money World" Paving Slabs Plastic molds BEST PRICE-in Decorative Pebbles from Home & Garden on Aliexpress.com | Alibaba Group

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1pair = TZS 106,964
2pair = TZS 137,456
3Pair = TZS 219,252

Model zingine: bit.ly/2XQb9Xj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…