Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mbona muda mref sana hakuna uwezekano wa kuipata fasta kidogo mkuu at least wiki hivi aisee.
Haiwezekani,

Sababu
- Processing time kabla ya kutuma baada ya malipo huwa ni kati ya siku 2 hadi 5.
- Iwapo itatumika njia ya express, basi mzigo utachukua kati ya siku 5 hadi 9
- Hapo kwa uchache ni siku 14.
 
Haiwezekani,

Sababu
- Processing time kabla ya kutuma baada ya malipo huwa ni kati ya siku 2 hadi 5.
- Iwapo itatumika njia ya express, basi mzigo utachukua kati ya siku 5 hadi 9
- Hapo kwa uchache ni siku 14.

Oooh Owkay sawasawa kiongozi.

Gharama zake mpaka naipata ziko vipi mkuu...?
 
Mwalimu naomba msaada kununua hii mashine itaji cost kiasi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Tutanunua hii ya liexpress

Gharama ni TZS 646,600

Muda: Wiki Tatu.
 
Habari
Mpaka kunifikia hii itakua bei gani?



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
TZS 911,130

NB: Iwapo itazuiriwa ili kulipiwa VAT/ KODI ikifika nchini, basi kiwango kitajulikana wakati huo.


Mkuu hii mpaka inifikie moshi itakuwa bei gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TZS 230,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…