Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu asante sana Mwl.RCT
leo nimepata redmi note 7
Biashara imefanyika hata hatujaonana, mzigo mpya
Huduma nzuri ingawa seller aliniweka sana ila hatimaye mzigo upo mkononi

Sasa wanatecno msishtuke kuona mabadiriko yangu
Hii ndio picha ya mwisho kutumia tecno ona camera ilivyo mbovu
Watumiaji wa tecno poleni sana [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi.

Utatumiwa kwa EMS baada ya mzigo kufika nchini.

Je ni ipi unahitaji kununua?

Mwalimu nakupenda, napenda vile unajibu watu kistaarabu. Unanikosha sana.
Natamani hata Baba Debo angekua na hulka kama yako, ningedekaje mieeee..
Yaani kuna wafanyabiashara humu wana maneno ya shombo sana, mfano mzuri ni Dalali Tunzo
 
Mkuu asante sana @Mwl.RCT
leo nimepata redmi note 7
Biashara imefanyika hata hatujaonana,
- Ahsante kwa feedback.
- Ahsante pia kwa kuwa na imani nami, maana kwa hali ya sasa ilivyo kumtumia mtu TZS. 0.75M, sio jambo dogo.
Ahsante na Karibu
Huduma nzuri ingawa seller aliniweka sana ila hatimaye mzigo upo mkononi
Wauzaji walianza kuzitangaza kabla ya mzigo kuwafikia kwenye wharehouse zao.

48MP camera - Hapo XIAOMI wamejibu mahitaji ya wadau wanaohitaji PICHA / VIDEO zenye ubora mkubwa. Hongera sana.
 
Mwalimu nakupenda, napenda vile unajibu watu kistaarabu. Unanikosha sana.
Natamani hata Baba Debo angekua na hulka kama yako, ningedekaje mieeee..
Yaani kuna wafanyabiashara humu wana maneno ya shombo sana, mfano mzuri ni Dalali @Tunzo
Ahsante @Mama Debora ,
- Nimefurahi
- Na umeifanya siku yangu kuwa njema na ya furaha.

Ahsante
Sahihi
😀😀😀😀
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…