Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Asante Mwl.RCT, It was awesome to make business with you!!
Niliagiza Mzigo wangu April 17, nimeupokea jana May 8.

JBL charger 3 tupa kuleeee...
Bosse SoundLink tupa kuleee...

Mziki Mneneeeeeeeeeeeeeeeee ni Anker SoundCore!!!!



Siazimi mtuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!


Woyo woyoooooooooooooooooooo!!!!


stephot
kcamp
Mr. Mobile
Chief-Mkwawa
aise
troublemaker
64gb
 
 
samsung case s8+ kma hii..iko amazon
Nipatie screenshot yenye maandishi ya item husika.

Ndio itakufikia

Amazon kuja Tanzania - Ghalama huwa ni kubwa

Aliexpress - Huwa ni nafuu

Je kwanini usiangalie hiyo item ALIEXPRESS
 
Gharama: TZS 68,320

Muda: Wiki tatu (3)

Njia ya malipo: Mobile Benking - Utajulishwa

Karibu
 
Naomba kueleweshwa sijaelewa kidogo huu ni mziki wa home au kama walkman?
 
Naomba kueleweshwa sijaelewa kidogo huu ni mziki wa home au kama walkman?

Kiufupi.
- Ni Loudspeaker
- Inakuwezesha kupata sauti bora/ kubwa toka katika vifaa kama simu. laptop etl ambapo uanunga kwa kutumia bluetooth
- Haiingii maji, hivyowaweza tumia mahala popote bila kuwa na wasi wasi.
 
Gharama ya hii sim tafadhali kama hutojali
 

Kiufupi.
- Ni Loudspeaker
- Inakuwezesha kupata sauti bora/ kubwa toka katika vifaa kama simu. laptop etl ambapo uanunga kwa kutumia bluetooth
- Haiingii maji, hivyowaweza tumia mahala popote bila kuwa na wasi wasi.
View attachment 1097591
Okay nashukuru kwa ufafanuzi Mwl.hakika unaipenda kazi yako na inaonyesha ww ni mwaminifu,kitu kimoja sijaelewa kwahiyo mm ndio natakiwa ninunue huko Alibaba then ww unanisafirishia huo mzigo au inakuwaje?
 
inaonyesha ww ni mwaminifu,
Huu ndio msingi wa kuwepo kwa hii huduma hadi sasa.
kwahiyo mm ndio natakiwa ninunue huko Alibaba
Jukumu lako ni
#1. Kunijulisha item unayohitaji {a} Kwa kkunipatia link au {b} screenshot yenye maandishi ya item husika
#2. Utalipia gharama ya manunuzi na kusafirisha - Nitakujulisha ni kiasi gani baada ya kunipatia link husika
#3. Utapewa tracking number na Utasubiri mzigo kufika nchini.

Mzigo ukifika nchini
{a} Iwapo upo Dar, utaelekweza mahala pa kuja kuchukua
{b} Iwapo upo mkoani au nje ya nchi kuna njia mbili zitumikazo kutegemea na ukubwa wa mzigo husika 1/ Kwa kutumia huduma ya posta - EMS 2/ au Kutumiwa kwa njia ya Mabasi
- Gharama ya kusafirisha toka Dar kwenda mahara ulipo hutegemea uzito wa mzigo na njia itakayotumika

Karibu
 
Mkuu Mwl.RCT laptop aina ya HP PAVILION X360 ....mpka naipata niandae kiasi gan nichangunulie na malipo yako ww hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…