Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nahitaji chaji mbili za Samsung S8, nipe gharama zake tufanye biashara.
Code:
https://www.aliexpress.com/item/32808074178.html
Bei TZS. ‭34,160‬

Muda: Wiki tatu baada ya muuzaji kutuma
 
samahani mkuu kuna kitu nataka nikuulize pengine unaweza kuwa unafahamu hivi kwanini mfano ukiingia aliexpress unakuta bidhaa hiyohiyo gharama za kusafirisha zinatofautiana mfano unakuta Ali express standard shipping gharama zinatofautiana wakati bidhaa ni hiyo hiyo
 
hiyohiyo gharama za kusafirisha zinatofautiana mfano unakuta Ali express standard shipping gharama zinatofautiana wakati bidhaa ni hiyo hiyo
Tuangalie huu mfano.
- Muuzaji A anauza USB Flash kwa US $3 na anasafirisha kwa USD 2
Wakati huo huo
- Muuzaji B anauza USB flash kwa US $1.5 na anasafirisha kwa USD 3.5

Wote muuzaji A na Muuzaji B wanatumia Aliexpress standard shipping.

Je wewe utanunua bidhaa kwa muuzaji yupi kati ya Muuzaji A na B?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…