Ingia www.ebay.com tafuta itakayo faa kisha nipe link yakeCanon EOS 5D Mark III Bei take Hadi kufika nipo Dodoma
Ingia www.ebay.com tafuta itakayo faa kisha nipe link yake
Ingia www.ebay.com tafuta itakayo faa kisha nipe link yake
Bei hii ya ebay haina uhalisia, ingia aliexpress.com na chagua tena: https://www.aliexpress.com/i/32982411385.htmlSh ngapi mpaka inifikieMen formal 3pcs suit blazer jacket tux vest fréquenter trousers mens suit | eBay
Item include: Jacket (coat) + Pants + Vest. Vous pouvez nous dire la Réf. Q: Si l'objet reçu n'est pas celui que j'ai commandé, que dois-je faire ?. R: En général, ils seront envoyés dans un colis. Nous vous suggérons de vérifier bien le colis.www.ebay.com
TZS. 3,001,200Canon EOS 5D Mark III Digital SLR Camera With Box *Shutter Count 88695*#21957 | eBay
Shutter Count 88695 .www.ebay.com
Mwl kwema, hivi ni bank gani yenye gharama nafuu kwenye manunyzi online. Bank ya Equity wanacharge almost 8% hivi. Yaani bei ya bidhaa + 8%. Je bank zingine kuna unafuu?
Mwl. Habari za majukumuTZS. 3,001,200
Utapigiwa simu na shipping agent atakeyepokea mzigo wako, Pia utakuwa na mawasiliano yao atakupatia seller, (utaona katika BL documents utakazopewa) baada ya mzigo kutumwa.Mzigo ukifika Dar Es Salaaam port natakiwa nifuate taratibu zipi pale badarini ili kupata mzigo wangu?
Hakuna changamoto zozote, agent ndio atashughulikia taratibu zote, wewe jukumu lako ni kutoa fedha kila itakapo hitajika na agent kufanya hivyo kwa kila hatua wanayofikia.Changamoto kubwa zipo wapi wakati wa delivery
aha ok i got your concept,lets say ni kuibiana kiaina i cant believe yaani mwingine unakuta mpaka $51 wakati mwingine ni $18 sasa nashangaa yaani kusafirisha tu mihela yote hiyo,cha kushangaza kuna bidhaa shipping cost ni kubwa kuliko hata bidhaa yenyeweTuangalie huu mfano.
- Muuzaji A anauza USB Flash kwa US $3 na anasafirisha kwa USD 2
Wakati huo huo
- Muuzaji B anauza USB flash kwa US $1.5 na anasafirisha kwa USD 3.5
Wote muuzaji A na Muuzaji B wanatumia Aliexpress standard shipping.
Je wewe utanunua bidhaa kwa muuzaji yupi kati ya Muuzaji A na B?
Hapana.O.K so hiyo TZS 417,240 ni inclusive ya TZS 15,000?
Nimekutumia PMThanks Chief,utaratibu wa payment ukoje?
Muuzaji anauza na kutuma ndani ya UK.Mkuu naomba bei ya kuaguza hiki kifaa.
TCON BOARD 6870C-0313B LC320WXE-SCA1 FOR SHARP LC-32SH130K LC320WXN | eBay
Find many great new & used options and get the best deals for TCON BOARD 6870C-0313B LC320WXE-SCA1 FOR SHARP LC-32SH130K LC320WXN at the best online prices at eBay! Free shipping for many products!www.ebay.com
Muuzaji anauza na kutuma ndani ya UK.
TZS. 82,960Thanks.
Naomba niangalizie hiyo, Naona jamaa anatuma anywhere.
www.ebay.com/itm/TCON-carte-board-TV-LC320WXE-SCA1-6870C-0313B/323575023040?hash=item4b569305c0:g:z54AAOSwEvZcFAkl