Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nahitaji sumsung TV 42"
- Model ipi ya TV? - Gharama ya manunuzi hutofautiana kulingana na model/ brand ya TV husika.
- Je uko Dar au mkoani? - Delivery cost kwa Dar ni tofauti na mikoani.
 
Nikiagiza simu je inakuja na chaji pamoja na earphone zake?
- Model ipi ya TV? - Gharama ya manunuzi hutofautiana kulingana na model/ brand ya TV husika.
- Je uko Dar au mkoani? - Delivery cost kwa Dar ni tofauti na mikoani.
 
Mfano hii
Inategemea na link husika.
Nipe link nitakupa ufafanuzi
 
shukrani sana chief, ni mara ya pili kwangu kuhudumiwa nawe kwa uaminifu, nimepokea mzigo wangu leo tena ukiwa salama na kwa muda-siku 4 kabla ya tarehe tarajiwa wakati wa kuagiza. Ubarikiwe
 
TZS. ‭136,640‬
Muda: Ndani ya siku 10 hadi 14
Njia ya malipo: Mobile Benking - Ukiwa tayari kulipia nijulishe.

Karibu
okay asante..But why gharama imekuwa 100 percent double?Ni gharama ya usafiri tu?
 
Mambo Mwl

Mimi nime order vitu Amazon nikifika sehem ya payments inakubali but confirmation ya order inagoma cos natumia my credit card ya Tanzania na mimi niko US na nataka vitu view delivered in that address which is a new one tofauti na niliyowekaga mwanzo ya Tz.. Wanahisi kama kuna mtu ana hack my account najaribu kuwa contact ila holla. Msaada wako pls na account yangu wameifunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…