Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa


KWA TZS. 597,800

CHUKUA HII: Redmi Note 8 Pro 6GB/ 128GB

 
kabla ya 31 January?
Habari.
Angalia haya maelezo ya muuzaji.

Iwapo leo ndio iunalipiwa hii simu
#1. Itasafirishwa kati ya tarehe 20 hadi 23.
#2. Kufika nchini ni Baada ya siku 10 hadi 25 tangia isafirishwe kuja Tanzania

Tukirudi kwenye swali lako, Je itafika kabla ya January 31? ,Jibu ni hapana, haiwezekani ikafika kabla ya tarehe 31 January.

Huwa tunasema hivi:
#1. Mzigo utafika ndani ya siku 21 tangu ulipie au
#2. Utapokea mzigo ndani ya siku 14 baada ya tracking number kutolewa, yaani baada ya mzigo kutumwa.

Karibu
 
kuagiza Iphone 6+
iPhone 6 Plus

Link
yake: US $115.49 45% OFF|Original Unlocked Apple iPhone 6 & iPhone 6 Plus Mobile Phone 4G LTE 4.7/5.5 IPS 1GB RAM 16/64/128GB iOS Fingerorint Smartphone-in Cellphones from Cellphones & Telecommunications on AliExpress
Bei:
16GB - TZS. 492,880
64GB - TZS. 519,720
128GB - TZS. 549,000

Rangi zilizopo: Gray, Silver, Gold

Muda wa kufika
: Ndani ya siku 21 baada ya mzigo kutumwa

Picha

Mawasiliano kwa taratibu za malipo.
NJIA ZA MAWASILIANO

Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0788 203 160
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: +255 788 203 160
4. JamiiForum: PM
5. Telegram: @MwlRCT

MUDA WA KUWASILIANA NAMI
1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…