mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
hivi tofauti kati ya oled na amoled ni ipi?6.7" Original For Samsung Galaxy A70 LCD Screen Touch Digitizer
Item Link: https://bit.ly/3ynbGRU
Picha
View attachment 1840256
Bei:
AMOLED| TZS. 273,000
OLED| TZS. 159,000
Utachagua ubora wa kioo unao hitaji kati ya Amoled na Oled
shukrani kaka swali la kizushi nilienda kufanya survey kko nikakutana na mwingine anauza kwa 150000 lakin haina fingerprints kwa kioo? inakuwaje hii?
Mkuu vipi naomba kujua gharama ya huu mzigo mpaka bandarini Source With metal blades cheap national air cool stand fans 18inch on m.alibaba.comMinimum Order: Inatakiwa ziwe 500pcs
Je wewe unahitaji idadi ziwe ngapi?
Je zinatakiwa ziwe ngapi?Mkuu vipi naomba kujua gharama ya huu mzigo mpaka bandarini Source With metal blades cheap national air cool stand fans 18inch on m.alibaba.com
Nahitaji hiyo mashineView attachment 1841968
100Je zinatakiwa ziwe ngapi?
- Minimum ni: 100pcs
Kiongozi whatsapp hapatikani ukituma sms haifiki
Namba yako plz
- Mzalishaji ni mmoja.
- Zote zina ubora sawa.
- Ghalama ndio itatofautiana