Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nna budget ya 750 cm gan nzuri naweza pata hasa samsung au pixel
Iwe na camera na battery zuri
Msaada Mwl.RCT
 
S21 ultra
Bei integemea factor mbili
1. Storage size
2. Itanunuliwa kutokea wapi na website ipi.
==
Bei ni hizi


==
Pichani chagua
  • Size na
  • Site ya kufanyia manunuzi, kisha nijulishe
==
 
Wakubwa msaada apo
Kati ya samsung note10 plus na xiaomi 12x
Ipo iko bomba kwenye performance in general??
 
#1. Haiuzwi, bidhaa iko kwenye mnada kwa sasa

#2. Bidhaa zenye uzito mkubwa ni vyema ukanunua nchini badala ya kuagiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…