Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

- Ebay | Amazon
Naona Ebay kuna Mambo ya Ku-bid kwahivyo ngoja nikuwekee list ya mashine ambazo nazimudu.
1. 2.Dell G15 5511 Gaming Laptop, 15.6" 120Hz, 11th Gen Intel i5-11260H, RTX 3050 | eBay -Hii hapa ni mpya Mkuu ni more preferable kwangu.
3. Dell G15 5510 15.6", Intel i5-10500H, 8GB RAM, 256GB SSD, GTX 1650 Gaming Laptop | eBay
4. HP OMEN 15.6 inch (512GB, Intel Core i7 10th Gen., 2.60GHz, 16GB) Gaming Laptop | eBay

Mkuu pia unaweza kutoa maoni yako kwa mashine hizo pamoja na uzoefu wako.

NB. Nahitaji Moja tu.

Kwa maelezo zaidi Pm iko wazi Mkuu
 
Manunuzi Bei | ‭1,848,750‬ { manunuzi na kuisafirisha NDANI ya USA }
==
Gharama ya kuileta Tz itatokana na uzito wa package in KG, ambapo 1kg ni $27, Ghalama kamili utajulishwa taarifa za mzigo zikinifikia .


==
Mzigo ukifika nchini iwao kutakuwa na VAT utajulisha. Lapto hazina kodi ni VAT pekee
==
URL
Code:
https://www.ebay.com/itm/165574597064?epid=22054528629&hash=item268d03d9c8:g:uXEAAOSwRytizfs2&shqty=1&isGTR=1#shId
 


Radio hiyo naipata kwa bei gani nikiagiza mkuu
 
Okay tuendelee Mkuu.. Fanya Huo Mchakato nipate total cost
Lipia
==
Manunuzi | ‭1,848,750‬ { manunuzi na kuisafirisha NDANI ya USA }
==
Gharama ya kuileta Tz itatokana na uzito wa package in KG, ambapo 1kg ni $27, Ghalama kamili utajulishwa taarifa za mzigo zikinifikia .

View attachment 2292832
==
Mzigo ukifika nchini iwao kutakuwa na VAT utajulisha. Lapto hazina kodi ni VAT pekee
==
URL
Code:
https://www.ebay.com/itm/165574597064?epid=22054528629&hash=item268d03d9c8:g:uXEAAOSwRytizfs2&shqty=1&isGTR=1#shId
 
Bei ni TZS. ‭2,626,500‬

Inatoka USA, muda wa kufika nchini ni Wiki 3
==

Angalizo TRA wakidai VAT/Kodi mzigo ukifika nchini utawajibika kulipia.

Ghalama tajwa hapo juu ni-ya kukufikishia mzigo nchini.

Makadirio ya kodi ni kiasi gani? Maana kama US ni 2.6 hapa kwetu ni 2.7 tofauti ni laki je kodi inaweza kuwaje? Au nitatwanga maji kwa kinu
 
Zote sziko sawa tafauti ni ujazo tu wa memory Ya ndani?
Ile ya amazon
1. ilikuwa ni simu iliyotumika
2. Haipo sokoni kwa sasa
==

==
Hao juu nimekuwekea bei. Toka amazon kwa link nyingine.
 

TZS. ‭1,545,045‬
==
Hiyo ni jumla ya gharama kuifikisha Dar.
==
Endelea na malipo.
==
Udate yote ya manunuzi nitaweka hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…