Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwl ile perfume ya Club de nuit int Man bado kuna kizungumkuti kwenye kuisafirisha mpaka sasa??
 
Club de nuit int Man

=

Bei | ‭193,800‬
Delivery | Estimated between Thu, Oct 27 and Fri, Nov 11
Code:
https://www.ebay.com/itm/314184589309?epid=10039903077&hash=item4926dc5ffd:g:1YoAAOSwrjdjRheN&amdata=enc%3AAQAHAAABAJuOwPPyOMgCReP9MY881b%2FqEogb2m281p57xUWtoVMc9FkhcppuEQbJ6iG2D59cn6NEFbeGBAOTI8wvQ63DrCJLp0jmmOPagb0B0JEh372AQh9AbOk2skKDwVyzAf12iuB7Tdy7MCiwrTOvp0lJu22zZ8vHPEWsUyogVgtNlsn0GWM%2FiC4QcAMEOPD0HSymcNaoxhHke6%2Fb5NvSZ4Uio2jJX49TgUMi7GaOW5mqXrdWW9CPk2nkhO3LICNbzb9eCyjJNxAIfo1QVCYsVMIttlgIR4pCIc496QI6%2BQXMzRVyXtHEoQ7apok88F26GEeGKN0kkKydRJlBKWQNIAqlJgM%3D%7Ctkp%3ABFBM8MDHxvlg
 
Nashukuru kwa ufafanuzi.kama nikikosa mtu wa kuja navyo ushuru unaweza kua sh ngapi
  • Ushuru hutegemea 'invoice value' ya item husika.
  • Laptop haina ushuru bali utatozwa VAT tu.
  • Hesabu kamili hutolewa na mamlaka husika baada ya mzigo kufika nchini na ukaguzi kufanyika.
ila waweza kupata 'idea' kwa kusoma hapa | Kukatwa kodi kwa mizigo
 


Brother na shida na hii bike

Yamaha Banshee CC350...nimetafuta sana site za kuagiza direct from Japan used nimekosa..

Naomba msaada wako
 
Chagua hapa
Code:
https://www.ebay.co.uk/b/Yamaha-Banshee/18449/bn_7023425640

https://www.smartcycleguide.com/motorcycles-for-sale/350-banshee
Kiongozi habari za kazi
iPhone se ya 2019 itakuwa ya GB 128
US $101.50 50%OFF | Original Used Apple iPhone SE Unlock 99% New Mobile Phone 16GB/32GB/64GB/128GB ROM 4.0" Dual-core 12MP 1624mAh 4G LTE Smartphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…