Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Gharama za kuagiza air cooler au mini washing machine.??
Ghalama itatokana na:
  • Mahali mzigo unatoka.
  • Uzito / Ukubwa wa bidhaa husika.
Bidhaa itakufikia toka mahala popote Duniani, Chakufanya
  • Chagua bidhaa unayohitaji.
  • Nipe link yake.
  • Nitahakiki na kukupatia kiasi unachotakiwa kulipia. | Malipo yote hupitia benki
  • Manunuzi yatafanyika.

Karibu
 
bra...kuagiza inakuwaje???
1. Tafuta supplier wa item husika | Kwa hili hitaji lako ALIBABA itafaa zaidi.
2. Pata shipping agent ambaye atapokea mzigo wako toka china na kuusafirtisha kuja Tanzania
 
Code:
https://www.gear4music.com/PA-DJ-and-Lighting/Mackie-ProFX30v3-30-Channel-Analog-Mixer-with-USB/341A?_gl=1*iifewj*_ga*MTE5OTAyNjg5OS4xNjczMjM4MzU0*_up*MQ..
=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…