Bounty hunter
JF-Expert Member
- Feb 2, 2021
- 523
- 652
Hii shingap Mpka kunifikia
Clearing and fowarding.......Ndio, inawezekana,
na ndio lengo hasa la hii thread.
Unachotakiwa kufanya
1. Nipe taarifa za bidhaa unayohitaji.
2. Nitakupa Jumla ya gharama | Manunuzi + Kusafirisha + Handling Charges
3. Utalipia na kusubiria ifike ili ukabidhiwe..
Taratibu zingine zote kuhakikisha mzigo unakufikia ni jukumu langu.
Muhimu: Iwapo bidhaa uliyoagiza toka nje ya nchi, ikadaiwa Kodi baada ya kufikishwa hapa nchini , Basi nitakujulisha na utalipia kodi husika, Ila 'still' inabakia kuwa ni jukumu langu kufuatilia Taratibu za clearance hapa nchini..
Karibu
mkuu naweza agiza mzigo from Amazon tu Tz?USA | Top Stores
1. Amazon
2. Target
3. Walmart
4. Nordstrom
safi kwa udhoefu wako kampuni gani iko gud na good product...Sio amazon pekee.
Waweza agiza toka website yeyote ya USA, UK, Germany etl ;na mahala popote pengine duniani kupitia hii thread, na mzigo utakufikia Tanzania, Mahala ulipo.
simu na ps used au new?Inategemea ni bidhaa ipi unahitaji,
Je iwe kwenye kundi hali ipi| Used, Refurb. au New
sawa mkuu nitakuchki...amazon.com
ebay.com
Hizi site mbili zinakidhi mahitaji.
huku hakuna wahuni kama wa alie? maana niliwahi pigwa na kitu kizito... seller wa huko utajuaje kama ni trusted?amazon.com
ebay.com
Hizi site mbili zinakidhi mahitaji.
[emoji23][emoji23] we acha tu kuna siku tuliagiza Huawei p30 simu iliyokuja hata infinix kali aisee..simu hata jina siijuiSi tulininua kumbe ni infinix wameifunika na kuweka ka software ka kishkaji. Jikaze ila maumivu yapo
Kwa ebay inahitaji umakini, waweza pata muuzaji muhuni.huku hakuna wahuni kama wa alie?