Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Shukuran, mm nilikua nataka kwa ajili ya matumizi binafsi ladba 2 au 3 sijo kwa ajili ya biashara.

lkn mfano pc 1000 inakua sh ngapi, naona watu wengi wanaviulizia
 
Mim nahofia labda naweza agiza then nikaletewa kitu fake..
Ili kuepuka kuagiza bidhaa bandia kuzingatia mambo haya :
  1. Soma maoni ya wateja wengine, walio nunua bidhaa husika.
  2. Bei: Linganisha bei na wauzaji wengine, kwenye site husika na site nyingine.
  3. Picha za bidhaa: Angalia ubora wa picha za bidhaa husika.
  4. Refund: Angalia muuzaji iwapo anakubali kurudishiwa bidhaa, na kurudisha fedha iwapo hujaridhika na bidhaa husika.
  5. Hakikisha unakijua kwa unadni kitu unachotaka kuagiza.
=
Mfano hai angalia postiu chache hapo nyuma kuhusu Samsung Galaxy S22 Ultra 5G. Fake inauzwa laki tatu, na OG kwa inauzwa zaidi ya Milioni.

Hivyo kuwa makini katika uchaguzi wa bidhaa husika kabla ya kufanya manunuzi, Na hili swala la umakini, sio tu mtandaoni hata huko mtaani asilimia karibia 70 ya bidhaa ni fake, hasa hizi bidhaa kama TV, Simu etl, Ila watu wanatamba nao mtaani kama kawaida.

Na wafanya biashara hupata faida kubwa kwa kuuza bidhaa fake kuliko bidhaa halisi, Sababu bidhaa halisi ni bei kubwa na wengi hawamudu.
 
Beats Studio Buds - True Wireless Noise Cancelling Earbuds - Compatible with Apple & Android, Built-in Microphone, IPX4 Rating, Sweat Resistant Earphones, Class 1 Bluetooth Headphones - White | TZS. ‭419,526
=

=
 
mwl.rct nahitaji motorola edge 5g original kutoka uk itagharimu sh. ngapi hadi kuishika mkononi.
 
mkuu kuipata motorola edge 5g 2020 kutoka amazon uk ni bei gani hadi kuikamata mkononi.
 
mkuu kuipata motorola edge 5g 2020 kutoka amazon uk ni bei gani hadi kuikamata mkononi.
Motorola edge | Unlocked | 6GB + 256GB | 64MP Camera | 2020
Condition | NEW

- TZS. ‭1,102,620‬
=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…