Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu kwema kuna ponjoro kanitonya india wk hii amzon india na flipkart kuna ofa za kutosha ebu check iyo link nijuze adi bongo inakuajee


Take a look at this Hisense A6K 139 cm (55 inch) Ultra HD (4K) LED Smart Google TV 2023 Edition with Hands Free Voice Control, Dolby Vision & Atmos and HRR 120 Hz Mode on Flipkart
 
hii amzon india na flipkart kuna ofa za kutosha
Ni kweli kuna offer ya punguzo hadi asilimia 70 kwa baadhi ya bidhaa.

Changamoto: iko kwnye gharama ya usafirishaji, Ghalama ni kubwa kutokana na uzito wa hizi TV,

Mfano hii TV : Hisense A6K 139 cm (55 inch) Ultra HD (4K) LED Smart Google TV 2023
- Uzito wake ni 18.8kg, ambapo gharama ya kusafirisha kuja Tanzania ni US $452
 
niangalie na hii hapa ya bei nzuri au inayoendana na hii
 

Attachments

  • 71zVH4t6srL._AC_SL1500_.jpg
    188.2 KB · Views: 7
Mkuu kinahitajika kinanda aina ya Yamaha chenye uwezo wa PSR-950


Naomba kujua gharama na muda wa mzigo kufika
 

=

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa ushirikiano ninao upata toka kwa wana JF wote.
 
Mwl.RCT
Mkuu habari
Samahani naomba kujua bei ya hizi simu mpka bongo

Samsung S21 ultra

Samsung S22 ultra
 
Namba zenu nitazipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…