Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Naomba kujua bei ya Steering Rack ya Toyota Hilux Surf/Land Cruiser LHD part number

44200 35070/4420035070​

 
--
Kuna option hizi | 12hp-30hp-40hp-50hp-60hp

=

=
Code:
 Code: /product-detail/12HP-30hp-40hp-50hp-60hp-4_1600515141995.html
 

=

Code:
Code: /product-detail/China-Farm-Hand-Held-Tractor-Agricultural_1600686750454.html?s=p
 
Sawa. Utanitaarifu
HONOR X9b 5G

Lipia TZS. ‭1,074,600‬ kabla ya siku ya Jumanne.

Shipment inafanyika Ijumaa Tarehe 10/11/2023

Store nitakayonunua |
Code:
 https://www.hihonor.com/

Mzigo niutaupokea Malaysia | Shipment ndani ya malaysia itafanywa na DHL ( wanaaminika sana ), Kisha ndio mzigo utatumwa Tanzania

Nijulishe Njia ipi ya malipo unahitaji kutumia kati ya Hizi
NJIA YA MALIPO (KUTUMA FEDHA)

Malipo yote yanapitia Benki, Chagua njia mojawapo kati ya hizi kufikisha fedha yako benki.

(a) Kwa kwenda benki na kuweka kiasi husika au

(b)
Kwa kutumia Mobile Banking - kwa mtandao wa Tigo au VodaCom au Airtel
 
Panapo majaaliwa j3 jioni nitawasiliana na wewe Mwl.
 
Panapo majaaliwa j3 jioni nitawasiliana na wewe Mwl.

Tumia Njia mojawapo katti ya hizi
--
NJIA ZA MAWASILIANO

Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0788 203 160
2. Whatsapp: +255 788 203 160
3. Telegram: @MwlRCT
--
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…