Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

TZS. 664,000
Muda: Wiki 3
 
Mbona bei imepaa sana kutokea laki 1 mpaka 660 ni uzito wa bidhaa husika au...?
Gharama huwa ni jumla ya mambo mawili.
  • Kwanza bei ya kitu husika | imeandikwa
  • Pili gharama ya kusafirishia | imeandikwa
Hivyo ni vyema ukawaa unakagua nini kimeandikwa.

Rejea link yeyote uliyotoa, kisha kagua vyema
 
View attachment 2812616
Nimekusoma vyema kiongozi ngoja niangalie Nairobi au kama nitapata kwa hapa nchini itakuwa much better mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…