Ni kweli kwa kuwa bei hazijatofautiana sana.Ni bora kuchukua 9 Pro
Ndio, Alternative ipo.
1. Lipia mzigo
2. Nitakupa ufafanuzi nini nitafanya
Ahsante kwa kuniamini na kunitumia zaidi ya 1.5M kufanikisha manunuzi + Usafirishaji + Clearance na kukutumia mkoani.@Mwal.RCT
Shukrani sana mkuu...
Mzigo nimeupata
okayShare na wengine:
https://bit.ly/3yEPqmh
[emoji120][emoji120][emoji120]Ahsante kwa kuniamini na kunitumia zaidi ya 1.5M kufanikisha manunuzi + Usafirishaji + Clearance na kukutumia mkoani.
Ombi: Chukua hii link ya na share kwenye groups zako ili huduma hii iwafikie wengi.
https://bit.ly/3yEPqmh
Ahsante.
Njia ya rahisi hakuna. Sababu ni option ya ndege pekee ndio iliyopo.njia gani ni rahisi
gharama zikoje?