Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

TZS. 148,020
 
Nina mzigo kutoka Uk nataka uende Tanzania, shipped kwa contena. Any lead?
 
Nina mzigo kutoka Uk nataka uende Tanzania, shipped kwa contena. Any lead?
- Je ni aina ipi ya mzigo? ( Nature of goods)
{1} Matumizi binafsi (au vitu vya nyumbani unachotaka kusafirisha kwa ajili ya matumizi yako binafs)
{2} Mizigo ya kibiashara

- Je, utahitaji bima?

- Collection postcode ni ipi.

- Je ni 20FT aau 40FT container

NB: Kwa kuwa baadhi ya taarifa ni too personal basi niandikie PM ili niweze shughulikia Shipping Quote.
 
Code:
 https://ytlansu.en.alibaba.com/
Ingia hapo:

Your browser is not able to display this video.



 
πŸ””Nunua Bidhaa Yoyote kutoka Kenya, Bila Usumbufu!πŸ””

Je, unatamani kupata bidhaa bora kutoka Kenya bila usumbufu wa usafiri? Sasa unaweza! Fanya manunuzi kwenye tovuti yoyote ya Kenya, nami nitasimamia kila kitu:

πŸ””* Manunuzi: Nitanunua bidhaa yako kwa niaba yako.
πŸ””* Usafiri: Nitaisafirisha kwa ndege hadi Tanzania.
πŸ””* Delivery: Nitakuletea mpaka mlangoni kwako.

Huduma ni za haraka, salama na uhakika.

Karibu tukuhudumie!

πŸ””Angalizo: Bidhaa ikiingia nchini iwapo itadaiwa kodi, Utawajibika kulipia; Pamoja na clearance charges zitakazojitokeza hapa nchini.
 

Code:
https://www.gsmarena.com/motorola_edge_50_ultra-12919.php
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…