- Item ipo NYDELL LATITUDE E5470 2.6GHZ 8GB 500GB WIN 7 PRO LAPTOP 9CW20 BLACK (NEW) | eBay
Hii mpaka inanifikia itakuwa Tshs ngapi?
Asante, unaweza kuniambia bei yake kwa hapa Tanzania?- Item ipo NY
- Hivyo mzigo utapokelewa New Yrk kabla ya kutumwa Tanzania
View attachment 522234
View attachment 522231
Manunuzi na kuufkisha mzgo ofisini NY ni TZS 1,405,415
Then ghalama ya kusafirisha toka USA kuja TZ itatokana na uzito wa package yote, itajulikana baada ya mzigo kupokelewa USA.
NB: Mzigo ukifika tanzania kutakuwa na Tozo la VAT - Mamlaka husika watatupa ghlama utakayolipia.
Karibu
Mwl. hii huduma yako inafaa kununua bidhaa kama iPhone au MacBook kutoka kwenye website yao apple.com??Sijafanikiwa kuiona hii laptop kwa hapa DSM
Sahihi kabisa.Mwl. hii huduma yako inafaa kununua bidhaa kama iPhone au MacBook kutoka kwenye website yao apple.com??
Hapo ndo kila kitu bila any other cost!? Hadi inanifikia hapa nilipo!?
Sahihi kabisa - Iwapo upo DSM, Hakuna malipo mengine ya ziada.Hapo ndo kila kitu bila any other cost!? Hadi inanifikia hapa nilipo!?
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
HabariMwalimu kuipata hi mpaka dar ni kama sh ngap?
HP Pavilion 15-f271wm (Silver) LCD Back Cover + bezel + Hinges P/N EAU65003020 | eBay
AliExpress Mobile - Global Online Shopping for Apparel, Phones, Computers, Electronics, Fashion and more
boss niambie hii kitu shs ngapi
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
Mzigo umefika. Utatumiwa kwa EMS, Na utaupokea ndani ya siku 3.Leo nimeingia ebay kununua motherboard ya laptop Toshiba Satellite pro A120, nikaipata inauzwa dolla 36.38 kupitia hii link baada ya kufuatilia maelezo ya muuzaji nikaona hatumi kwenye PO BOX. Sasa wanajukwaa naomba mwenye kujua namna nyingine ya kupata address tofauti na PO BOX au jinsi ya muuzaji kukutumia kupitia DHL.
SolvedVuta subira Mkuu utasaidiwa
Ninatoa hii huduma kama ilivyo kwa MYUS au USGOBUY, Faida ya kutumia huduma yangu ni hii.fungua address ya USA aitume huko kisha wapokeaji wataituma kwako.....kuna usgobuy.com au myus.com....usgobuy wanatoa 60 days za free storage myus wanatoa 6 days baada ya muda tajwa utalipia kila cku 1$ ya storage....maelezo zaid tembelea website husika....ziko nyingi Ila izo mbili ndio ninazotumia.....
Ahsante chief, kupitia hii comment yako ndugu MimiTena amefanikiwa kupata item yake.au mtumie Mwl.RCT
DHL gharama ni kubwa kushinda hio hela ulionunulia