The observer
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 211
- 84
TZS 16,329.82AliExpress Mobile - Global Online Shopping for Apparel, Phones, Computers, Electronics, Fashion and more.
Mkuu naomba nichekie gharama mpaka napata hapa Dar [HASHTAG]#buy4me[/HASHTAG]
Ingia AMAZON .COM, kisha angalia ile itakayo faa kisha nipe Link yake na nitakupa mchanganuo.Laptop kali kwa kazi za editing yenye graphics card nvidia geforce, core i5 or i7, niandae shngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta kwenye hii link:Kiongozi ninahitaji Genuine Complete DJ Equipment/System, niandae Shs ngapi mpaka kunifikia huku Tabora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana, will be back to you A$AP.Tafuta kwenye hii link:
>> Dj-Equipment-DJ Equipment NYC,DJ Store,DJ Shop,DJ Music Store,online DJ system,online DJ Store At Quality Car Audio|qualitycaraudio.com
Then nipe link ya items utakazohitaji na nitakupa mchanganuo wa ghalama
Hizi gharama ni pamoja na usafirishaji mkuu?
habariSent using Jamii Forums mobile app
Ok poa haya nipe na hii beiSeller hatumi kuja TZ
Na iwapo nikipokea USA ndipo nitume TZ ghalama itakuwa kubwa zaidi.
Tumia hii link: PicClick AU • Search eBay Faster. Find it first!
Search item nyingine.