TZS 73,005Ok poa haya nipe na hii bei
Fashion Men's Driving Casual Boat Shoes Leather Shoes Moccasin Slip On Loafers | eBay
Ndio inawezekanaNikitaka kuagiza mzigo mkubwa wa biashara kutoka China itawezekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa yuko smart acha kabisa!Mwl napenda kukushukuru sana kwa uaminifu wako pamoja na kutoonana tuliaminiana tukafanya biashara ya zaidi ya us dollar 1700,nashukuru mashine yangu imefika na nimepokea mkononi kwangu, keep it up naamini utafika mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia AMAZON .COM, kisha angalia ile itakayo faa kisha nipe Link yake na nitakupa mchanganuo.
Fanya hivyo. Kisha nipe link husika.VIPs Kama nitatumia kuangalia laptop katika soko la eBay au alibaba?
Kwema Mwl?natafuta Dell Latitude E 6430 au E 6440 Used nzuri.Ni mtandao gani naweza pata kwa bei nzuri?Sent using Jamii Forums mobile app
ThanksZinapatikana AMAZON .COM
Zinapatikana AMAZON .COM
Naweza kuagiza vifaa vizito kama injini ya pikipiki aina honda 250cc?habari
Sijapokea ujumbe wako
Jisikie huru kuwasiliana nami wakati wowote ukiwa na swali au kuhitaji ufafanuzi wa chochote, kuhusiana na maudhui ya hii thread.
Karibu
Ndio yawezekana. Niunganishe na seller atakaye kuuziaNaweza kuagiza vifaa vizito kama injini ya pikipiki aina honda 250cc?
Sent using Jamii Forums mobile app