Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

mkuu nitafutie bei honor 6x
3GB RAM
32Gb ROM
silver in colour
 
TZS 634,840
Asante sana daah god bless u umenifunza mengi mnoo<br />Nina tatizo moja tu mkuu mimi natumia card ya equity bank kufanya manunuzi mtandaoni kule aliexpress kuna bidhaa niliagiza hazikufika hivyo nikafanyiwa refund sasa nikiwasiliana na equity naona wananizungusha tu wanadai niwafowadie email ya uthibitisho wa refund wakati kwa utaratibu wa aliexpress ni kuwa refund processing mpaka iwe complete inafanyikia ndani ya mtandao wa aliexpress mkuu plzz huwa unafanyaje kuhusu suala la refund?
 
aliexpress ni kuwa refund processing mpaka iwe complete inafanyikia ndani ya mtandao wa aliexpress mkuu plzz huwa unafanyaje kuhusu suala la refund?
Fungua order yako husika

Kisha click hapo kwenye refund

Kisha click hapo Dispute

Then click detail, na save hiyo page na tuma kwa email kwa wahusika wa bank
 
Naomba kujua gharama yake hadi inafika Tz,itachukua muda gani kufika? Link ipo hapo chini.
Asante.
 
Pia nahitaji keyboard ya Lenovo ideapad S300 naomba kujua gharama yake in total hadi hapa Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…