Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

very risk maana wapiga dili wa mitandaoni wamekuwa tishio.
 
very risk maana wapiga dili wa mitandaoni wamekuwa tishio.
Ni vyema kuchukua tahadhali, iwapo ni mgeni katika manunuzi mtandaoni.

Ninachokifanya nina uzofu nacho kwa zaidi ya miaka mitano (5), Hivyo nafahamu nini kinatakiwa kifanyike
Karibu
 
Kwa vifaa vya electronics ni bora kutumia njia hii..utapata kitu bora zaidi
 
Kwa vifaa vya electronics ni bora kutumia njia hii..utapata kitu bora zaidi
Tumia AMAZON, EBAY UK, EBAY US
Utapata items OG na bora, Iwe mpya au used.

Karibu
 
Mkuu
Mimi nahitaji projector ndogo simle ya kufundishia isiyozidi 150,000/= wewe ni mtaalam wa kujua vya mtandaoni. Naomba uniangalize kisha unambie kama naweza pata.
Asante
 
Mwalimu
Mungu akupe baraka Mzigo nimepata na kila kitu ndani kimefika salama,Shukrani kwa update mda wote niliokuwa nasubilia mzigo ufike ntakuona tena mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…